House for rent at Makongo, Dar Es Salaam


House Of Two Bedrooms, Sitting Room and Kitchen 550k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Makongo📍
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Kubwa
• Kwenye Compound Wapangaji Wawili tu✅
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Kutoka Barabarani ni umbali wa Km 1
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 550k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲