House for rent at Makongo, Dar Es Salaam


House Of Two Bedrooms, Sitting Room and
kitchen 600k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo maeneo ya Makongo Songasi📍
• Chumba kimoja ni Master Bedroom
• Jiko Ni Zuri
• Fence Na Parking uhakika
• Wawili kwenye Compound
• Nyumba ipo karibu na Barabara
Payment Conditions:
• Kodi ya Nyumba kwa Mwezi ni 600k✅
• Malipo ya Kodi ni Ya kwa miezi sita (6)
• Mwezi Wa Hela Deposit (Hela Ya Tahadhari)
Service Cost:
• Gharama za kuona Nyumba ni 20k(inalipwa Mara Moja)
• Malipo ya Dalali ni Ya Mwezi mmoja Sawasawa na Kodi ya
Nyumba
Contact:-
• 0744701813 Normal & Whatsapp📲