House for rent at Makongo, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MAKONGO JUU
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa.
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,000,000/=×6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1
-------------
Contact
#0688546464whats
#0655222280whatssapp