House for rent at Makongo, Dar Es Salaam


Nyumba Mpya: House Of Two Bedrooms, Sitting Room and Kitchen 700k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Makongo Ccm📍
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Umbali Dk 10 kutoka Main Road (950m)
NB: Ukilipia Nyumba Ndani Ya Siku Kumi Unaingia
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 700k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲