House for rent at Makongo, Dar Es Salaam


House Of Two Bedrooms, Sitting Room and
kitchen 300k🏠
Specifications:-
☑️Nyumba ipo Makongo juu
☑️Chumba kimoja ni Master Bedroom
☑️Jiko Ni Zuri
☑️Fence Na Parking uhakika
☑️Nyumba ipo karibu na Barabara
Payment Conditions:
☑️Kodi ya Nyumba kwa Mwezi ni 300K✅
☑️Malipo ya Kodi ni Ya kwa miezi sita (6)
Service Cost:
☑️Gharama za kuona Nyumba ni 20k(inalipwa Mara Moja)
☑️Malipo ya Dalali ni Ya Mwezi mmoja Sawasawa na Kodi ya Nyumba
0ffice location:
📍 Lufungira near mlimani city
Contact:- ☎️0718536657 Normal & Whatsapp📲