House for rent at Makongo, Dar Es Salaam
Master bedroom, Sebule na Jiko 500k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Makongo Mwisho📍
• Chumba Kimoja Ni Master
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking
• Nyumba ipo karibu na Main Road (Nyumba Lami)
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 500k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Minne (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba
ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0780600341Normal/Whatsapp📲