House for rent at Makongo, Dar Es Salaam


House Of Three Bedrooms, Sebule na Jiko 650k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Makongo Mwisho📍
• Chumba kimoja ni Masterbedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking
• Umbali Kutoka Barabarani ni km 1 hadi kwenye Nyumba
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 650k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲