House for Rent at Makumbusho, Dar Es Salaam
Property Listing: Chumba, Sebule na Jiko🏠
Location: Maeneo ya Makumbusho📍
Rooms:
• Chumba (Bedroom)
• Sebule (Living Room)
• Jiko (Kitchen)
Rent: 600,000 TZS per month💥
Specifications:
• Nyumba ipo Maeneo ya Makumbusho
• Choo ni Public Toilet
• Jiko lake ni Zuri Kabisa
• Fence na Parking ipo
• Maji na Umeme unajitegemea
• Umbali kutoka Barabarani ni dakika 5 tu
• Inaruhusiwa Kufanya AirBnB
Payment Conditions:
• Kodi ya Nyumba kwa Mwezi ni 600k
• Malipo ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:
• Gharama za Kuona Nyumba ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama za Dalali ni Mwezi Mmoja wa Kodi ya Nyumba ambayo Hulipwa na Mpangaji, Tofauti na Kodi
Contact:
• 0744701813 (Normal/WhatsApp)📲