House for Rent at Mateves, Arusha
INAPANGISHWA MATEVES ARUSHA
NI NYUMBA CLASSIC
🔹️Ni nyumba yenye room tatu za kulala moja master
🔹️Ina makabati vyumbani
🔹️Ina sebulee na dairning
🔹️Ina jiko lenye makabati
🔹️Ina public toilet
🔹️Ina heater ya maji moto
🔹️Ina parking
🔹️Ina garden
🔹️Ina sehemu beberque
🔹️Mazingira tulivu
🔹️Sio mbali kutoka arusha airport
🔺️Bei 500,000/= kwa mwez
Call 0758105801