House for rent at Mawasiliano, Morogoro


*APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA sala sala KINZUDI.*
Zina vyumba 3, kimoja master na vyoo vyote vya kukaa master na public.
Nyumba zime kamilika mteja una weza hamia hata Leo yaani ukilipa tuu una weza ingia
*Bei:* laki 6, miezi 6.
Laki 6 kodi inajumuisha ulinzi na usafi.
Pakingi kubwa kabisa
Wahi mapema apartment ni nzuri sana
MAWASILIANO 0656623510
Wsp 0752436347