House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
APPARTMENT INAPANGISHWA
GHOROFA YA TATU(03)-KUNA LIFT
________
MAHALI-AREA D
_________
MUUNDO
-VYUMBA 02(VYOTE MASTA)
-SEBULE
-JIKO
________
HUDUMA
-FREE INTERNET (WiFi)
-HULIPI MLINZI(TUNA WALINZI WA KAMPUNI MCHANA NA USIKU)
-HULIPI USAFI
-TV CABLE ZAIDI YA CHANEL 40 BURE
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
-NDANI YA FENSI
-PARKING SPACE
________
BEI-650,000@MWEZI
________
MUDA WA MALIPO-MIEZI 06(MAONGEZI YAPO)
________
MALIPO YA DALALI-KODI YA MWEZI
(UNALIPA MTEJA/MPANGAJI)
________
NB-ITAKUWA WAZI 01/12/2024 RUHUSA KUONA+KULIPA
________
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
________
MAWASILIANO
0767833496(Call)
0622111186( Whatsap)