House for Rent at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA-PEKE YAKE KWENYE FENSI
___________
INAMALIZIWA KUFUNGWA MAKABATI JIKONI+KUPIGWA RANGI
____________
MUUNDO
-VYUMBA 04(02 MASTA)
-SEBULE
-JIKO
-DINING
-PUBLIC TOILET
_________
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
-IKO NDANI YA FENSI
_______
BEI-500,000@MWEZI
________
MUDA WA MALIPO-MIEZI 06
_________
MALIPO YA DALALI-KODI YA MWEZI
(UNALIPA MTEJA/MPANGAJI)
__________
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
__________
MAWASILIANO
0767833496(Call)
0622111186(whatsap)