House for Rent at Mawasiliano, Morogoro







90000 X 3
IPO WAZI
*BACHELOR ROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO(DSM )🇹🇿
====================
*CHUMBA MASTER NZURI ,
MAJI DAWASA YAPO NDANI 24HRS MAJI HULIPI
*NYUMBA NDANI YA FENSI SAFI MLINZI GETINI
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA 2.5
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA TEMBONI(DSM)🇹🇿
USAFIRI UPO NI BAJAJI 800/=
*KODI NI TSZ 90000x 3/=
_________________________
___NB TAADHALI 50000 YA UWANGALIZI WA NYUMBA NI MUHIMU SANA inalipwa pamoja na kodi km huna hii usiangaike,
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347