House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO PIKIPIKI ELF 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15, UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule choo ndani Inajitegemea umeme maji mna shea
Hii nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri
Mwenye nyumba anapokea miezi sita tuu/=
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki moja nanusu
(150,000Γ6
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347