House for rent at Mawasiliano, Morogoro


HII HAPA MDAU AMKA NAYO 👆
-------
NAFAULISHA MTEJA WANGU AMEHAMISHWA KIKAZI
---------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD ###USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 NA BODABODA NI ELFU MOJA.
--------
SIFA ZAKE =
VYUMBA 2 VYA KULALA (HAINA MASTER )
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET YA NJE
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW YAPO 24 HOURS
TAILS GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM
ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI NA HII MOJA NDIO INAFAULISHWA.
-----------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA.
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347