House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
JENGO LINAPANGISHWA KWA MATUMIZI YA HOSPITAL AU OFISI
___________________________________
MAHALI-CHIDACHI ST MARY (IRINGA ROAD)
-JENGO LINATAZAMA BARABARA YA LAMI
___________________________________
MUUNDO KWA HOSPITAL
01.RECEPTION AREA
02.TRIAGE ROOM
03.DATA CABINET ROOM
04.CASHIER ROOM
05.PHARMACY AMBAYO INA STOO YAKE
06.CONSULTATION ROOMS(ZIKO 03)
07.OBSERVATION BEDROOM KUBWA YENYE TOILET
08.TREATMENT ROOM(TRACING+SMALL PROCEDURES)
09.STUFF MEETING ROOM
10.OBSERVATION ROOM FOR FEMALE
11.PANTRY (Kwaajili ya breakfast+Vitu vingine)
12.CLINIC ROOM
13.MAABARA AMBAYO INA STOO(Maabara sinks tunazo tunakufungia free)
14.VYOO KWAAJILI YA WANAUME VIWILI NA VYOO KWAAJILI YA WANAWAKE VIWILI
________________________________
AMENITIES/HUDUMA
-FIRE ALARM+DETECTION SYSTEMS
-STRUCTURE CABLING INTERNET
-SURVEILLANCE CAMERAS
-SYSTEM YA TV STATION KWENYE KILA CHUMBA
-CLEAN POWER UPS (Umeme ukikatika ghafla una back up UPS inayoweza kukaa kwa Saa moja)
-Nafasi kubwa Nje unayoweza jenga sehemu ya RADIOLOGY(X-rays,ultra sound)
-CORRIDOR KUBWA UNAYOWEZA WEKA VITI WATU WAKAKAA KUSUBIRI KUMUONA DAKTARI LAKINI PIA STRETCHERS ZA KUBEBA WAGONJWA ZIKAPITA VIZURI
-Spanish Tiles,First class sanitary equipment
-WATER RESERVE TANKS WITH PRESSURE PUMP
-AMPLE PARKING SPACE (mbele ya Jenga,nyuma ya jengo na nje pia)
-UMEME UNAOKIDHI MAHITAJI YA HOSPITAL NA VIFAA VYAKE
-TUTAFUNGA A.C MAABARA,PHARMACY NA KWINGINE FENI ZIKIHITAJIKA
_________________________
PIA TUNAPANGISHA KWA MATUMIZI YA OFISI KAWAIDA
AMBAPO KUNA
-RECEPTION
-VYUMBA 11 VYA OFISI
-STOO 02
-JIKO
-VYOO VINNE
________________________
BEI-2.5M mwezi
________________________
MUDA WA MALIPO-MIEZI 03 AU 6
__________________________
MALIPO YA DALALI-KODI YA MWEZI
(UNALIPA MTEJA/MPANGAJI)
__________________________
GHARAMA ZA KWENDA SITE-20,000/=
_____________________________
MAWASILIANO
0675228261(Call)
0672370722( Whatsap)
_____________________________
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumba #dalali #dodoma #diamondplatnumz #wasafi #alikiba #zuchu #harmonize #tanzanianweddings #gainwithxtiandela #mangekimambi #mbeya #daressalaam #gainwithmugweru