House for rent at Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT ZINAPANGISHWA 350K@MWEZI
MAHALI-ILAZO
MUUNDO WAKE
-VYUMBA 02 VYAKULALA KIMOJA MASTA
-SEBULE
-JIKO
-DINING
-PUBLIC TOILET
-STOO
HUDUMA
-MAJI
-UMEME
-PARKING SPACE IPO
-ZIKO MBILI KWENYE COMPOUND
-UMEME MAJI HAZISHEI
-HAZIKO MBALI NA BARABARA YA LAMI
-NYUMBA NI MPYA HAZIJAKALIWA
-BEI #350,000@MWEZI MUDA WA MALIPO MIEZI 06
-MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI 01
(UNALIPA MTEJA /MPANGAJI)
-GHARAMA ZA KWENDA SITE 10,000
-MAWASILIANO
#0689872064
#0623872064