House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
Master bedroom, sebule na jiko
• Master bedroom, sebule na jiko
• Umeme na Maji unajitegemea
• No Parking space
• Fence ipo, Security 24/7
• Ukilipa unahamia baada ya wiki moja
💰 Bei: TZS 300k kwa mwezi
📍 Mahali: CHANGANYIKENI
📅 Masharti ya Malipo: kuanzia miezi 8
*NOTE: Unaweza kulipa miezi 6, ukiwa unaingia utamalizia miwili*
Huduma za Ziada:
• Service charge: TZS 20,000 (itadumu mpaka utakapo pata nyumba)
• Gharama ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja
Kwa mawasiliano zaidi:
📞 WhatsApp/Piga: 0672616197