House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA BEI MSELELEKO
LOCATION IPO KIMALA TEMBONI
KODI NI 150,000X3x4x5x6👈
INA PANGISHWA
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA V2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
CHOO CHA FAMILY CHA NDANI
JIKO KUBWA LA KISASA
SEBULE KUBWA SANA
NYUMBA HII HAINA FENSI ILA USALAMA UPO WAKUTOSHA
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,5👈
USAFILI BAJAJI 700 BODABODA 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15000👈
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM CHAPU UPATE KITU POA KABISA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347