House for rent at Mawasiliano, Morogoro


FULL FINISHED APARTMENT FOR RENT 1,200,000/= X 3
💥 APARTMENT HII YENYE KILA KITU NDANI INAPANGISHWA NA INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#VYUMBA VYOTE VINAWEKWA KITANDA
#FENICHA ZOTE ZINAWEKWA
#HEATER ZA MAJI MOTO NA BARIDI
#AIRCONDITION
#CCCTV CAMERA
#ELECTRIC FENCE
#GARDEN
#PARKING
‼️ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 1,200,000/= X 3. Piya kwa siku unaweza kulipa 100000
ILIPWE MILIONI MOJA NA LAKI 2 TUU KWA MWEZI MALIPO KUANZIA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🇹🇿 APARTMENT HII INAPANGISHWA NA VITU VYAKE (FULL FINISHED APARTMENT) IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0764575774
WSP