House for Rent at Mawasiliano, Morogoro







#MASTER MPYA NA JIKO
------------------------------
📌Mahali:LUGURUNI(Dsm) 🇹🇿
Umbali:2.Km Pikipiki Elf 1
_________________________
MUUNDO ÷
✔️Chumba Kikubwa Master
✔️Nyumba Mpya
✔️ Jiko Kubwa Sana
✔️Mazingira Mazuri .
✔️Feni Ya Juu
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Ndani dawasa)
✔️LUKU Yako
📌 Ndani Ya Fensi &Parking ipo Kubwa
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 130,000/=x 5/6/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 05 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347