House for rent at Mbagala, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa ipo mbagala chamazi magengeni location st emanuel mapunda Road, laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea nyumba mpya kabisa. Apartment ina rooms 2 vyakulala sitting room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, tiliz, madilisha vioo, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, fensi ipo ya parking ambayo sharing wapangaji 2 tu, na paving blocks chini zpo. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.