House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
HII APARTIMENT MPYA UNAANZA NAYO NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NI 250000X6 IMESHUKA BEI WAI UJICHAGULIE
APARTIMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SEBULE KUBWA
#KUNA SEHEM IMETENGWA KUNA WOSH NA SEHEM KUJIKO
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NDANI YA FESI YENYE PEVING PARK KUBWA
APARTIMENT HII IPO #KIMARA_KOROGWE_KILUNGULE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYENYUMBA NI DK 4 KWA USAFIRI WA BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO UNAINGIA NDANI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI TSH 15000 UKIPENDA NYUMBA PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
. NJIA YA GARI NI TAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYENYUMBA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whtsp
#0769680796whtsp