House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko tuu 👈
Luku yako pekeyako
Maji mita munashea
Kod sh laki 2//
Malipo miezi 4 sawa 👈
Ilipo njia ya mbezi beach kituo ni sicansca 👈
Umbali kutoka sitendi ya daladala ni dakika
8 kwamiguu kutembea tuu
#0716623170