House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT ZIPO MBILI TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
BEI 200X6
SIFA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#SEHEMU YA JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION MBEZI NJIA YA MARAMBA KITUO MAKUTI
#BEI NI 200000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6