House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#FULL SECURITY (ULINZI WA KUTOSHA)
#INAYOPANGISHWA NI YA KATIKATI
BEI NI 600,000/=x6
ILIPWE LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT NZURI YA KISASA IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU UPO KWENYE
NYUMBA NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
*ANGALIZO:INAKUWA WAZI SOON MTEJA WANGU ANA HAMA KASHAPATA NYUMBA SOMA VIZURI*
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670