House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYAAAA KABISA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO
NJIA YA KWENDA MPIJI MAGOE _
NYUMBA HII INASIFA ZIFUTAZO
____________________
I CHUMBA KIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA CHOO NDANI PABLIC
NA JIKO
IPO NDANI YA GETI
ZIPO APATMET4
UMEME MAJI UNAJITEGEMEA
======
BEI YA NYUMBA HII
200,000/=X6
====.
USAFIRI UPO WA KUTOSHA
BAJAJI 1000/
DALADALA 700/
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
=====
UMBALI NI KM 1,5
UKITOKEA MBEZI MAGUFURI
DALALI MWEZI MMOJA
PINDI ULIPAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000
=====
CONT
0683234124
0718367179