House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APATIMENTI KALI SANA YA KIBACHELA
====================
INAPANGISHWA IPO MBEZI BRBR YA MPIJI MAGOE KIBAONI
=============
UMBALI KUTOKA STENDI YA MKOA MAGUFULI NI KM 2,5 USAFILI DLDL. 600/ BAJAJI 1000/=
=================
SIFA ZA NYUMBA
================
CHUMBA MASTA SEBULE KUBWA JIKO KUBWA
ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI KILA APATIMENTI INAJITEGEMEA UMEME
================
NA MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI NAJIKONI
================
CC TV / KAMERA SAFI
MAZINGIRA YA KISHUA
===================
KODI 200,000/= X4
KUONA NYUMBA 15000/=
.
DALALI 200,000/=
.
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
===================
CONTACT
0742260844
0657384670