House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Eeeee
Bwanaaaa ee , zimebaki mbili sasa
Moja ya 200,000 x6
.
Na nyingine ya 150,000 x6 hii haina jiko tu lakini zingine zote zina jiko
Changamkia Offa
.
APPARTMENT YA KISASA KUONA NDANI RUKSA NA KULIPIAAAA
LOCATION. MBEZI LUGURUNI UPANDE WA MKUU WA WILAYA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LINAFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO LUGURUNI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MKOA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BODABODA 1000 MPAKA NYUMBANI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0742260844
0657384670
.
DALALI SILAA