House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM KUBWA SANA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
KODI 100,000 KWA MWEZI × 4
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA
MAJI NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM .2
USAFIRI BAJAJI 700
ZIPO NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679447338
0753454167