House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE KUBWA
INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUFU
DK 4 KWA MGUU
KUTOKA LAMI
KODI 600,000/=X6
NYUMBA KUBWA INAYO JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE
SIFA ZAKE
INAVYUMBA 4 VYA KULALA 3 MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINNINGI ROOM
JIKO SAFI LA KISASA
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
MAKABATI YAMEFUGWA VYUMBANI NA JIKONI
========
BEI NI 500,000/=X6
ILIPWE LAKI TANO KODI YA MIEZI SITA
NYUMBA IPO BARABARANI
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
============
CALL
0716246322