House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA KESHO MUDA WOWOTE NDUGU MTEJA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
BEI NI 450,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO #MBEZI_KWA_MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796whtsp