House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU KIMARA TEMBONI KOTE UNAWEZA KUFIKA KWENYE NYUMBA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
UKIIPENDA NYUMBA HII NDUGU MTEJA UTALIPIA PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 2 BILA KUSAHAU SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
🏘️APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.