House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YPO
#INAPANGISHWA
BEI NI 150,000/= X 6
ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI /6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2,5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
💥KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
0719969102
0714903124