House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 500000X6
______
NYUMBA INAPANGISHWA IPO MBEZI NJIA YA MALAMBA MWISHO
KITUO
________
INAJITEGEMEA KWENYE FENSI PAMBENI KUNA APATIMENTI AIKAI MTU
______
UKISHUKA HAPO KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 5 HADI KWENYE NYUMBA
_______
BARABARA INAFIKIKA VIZURI HATA GARI YA CHINI
________
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTA
SEBULE KUBWA
CHOO CHA PABILIKI
JIKO KUBWA SANA
___________
MAJI UMEME INAJITEGEMEA
__________
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
__________
NYUMBA IPO WAZI UNALIPA UNAIGIA TU
_______
_USAFIRI WA KUTOKA MBEZI 600_
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI