House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INAVYUMBA VYA KULALA VINNE (4 )KIMOJA NI MASTER
SEBULE
DIANING NA
JIKO
PUBLIC TOILET
NYUMBA NI KALI SANA .
HAINA FENSI ILA USALAMA UKO VIZURI .
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU IKO
LOCATION:MBEZI LUGURUNI
BODABODA NI 1000 .
💰KODI LAKI NNE 400,000
MIEZI 6
SERVICE CHARGE ELFU 15,000
#0625606710