House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYAA KABISA INAPANGISHWA MBEZI
INN
--------------------------------
NYUMBA HII INASIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
NA JIKO LAKE
INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
ZIPO NDANI YA GETI
=====
UMBALI UKITOKEA MOROGORO ROAD
PKPK 1000/
KODI 220,000/=X6
KUONA NYUMBA15000
DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPAPO NYUMBA
=====
CONT
0683234124
0718367179