House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 250000X4/5/6
=====
NYUMBA INAPANGISHWA
STENDI ALONI
IPO MBEZI NJIA YA MALAMBA KITUO
SOWETO
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA
=======
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 8
BODA BODA 1000
======
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTA
SEBULE DAININGI
=======
JIKO CHOO CHA PABILIKI
=======
MAJI DAWASKO
IPO WAZI
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
======
NINA MTU MBELE