House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA UKIIKOSA HII JILAUM MWENYEWE
NI APARTMENT NZUR MNOOOOO
INAPANGISHWA
IPO MBEZI MWISHO HII NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI KITUO MSIGANI UMBALI WA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA DALADALA MBEZI MWISHO UKITOKEA KINYEREZI NI DK 3 UPO NYUMBAN
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA KIKUBWA SANAA
SEBULE KUBWA SANAA
JIKO ZURI KUBWA SANAA
NA CHOO NDAN PUBLIC KIZURI MNOO
ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
HII NYUMBA INA BARAZA MBILI YA MBELE NA KUTOKEA JIKON
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0
BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE INAFIKA HADI NYUMBAN BILA SHIDA KABISA
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT #0714335450