House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 3 # MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
❌❌ HAKUNA PARKING YA CHOMBO CHA MOTO ILA ZIPO NDANI YA FENSI ❌❌
BEI NI 200,000/= X 3
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA UPO MASAA 24
#PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA USAFIRI PIA UPO WA BAJAJI AU BODABODA NA UNAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
0767636395 0655436396