House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOMS ZINAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH ( 100,000 KWA MWEZI × 3)
Chumba na Choo ndani ( Master Bedroom)
Maji yanaflow chooni
Nyumba mpyaaaaaaa
Kodi 100,000 Kwa mwezi × 3
Umbali dakika 5 Kwa mguu toka kituoni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena.
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37