House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


STAND_ALONE INAPANGISHWA
IKO ~ DAR ES SALAAM-Tz
MAHALI - MBEZI BEACH VITUO VIWILI KUTOKEA MASSANA GOBA ROAD
________________
KODI ~ TSH 1,500,000/=
FULL FURNSHED 1,800,000
KWA MWEZI
______________
NYUMBA YA FAMILIA
YENYE SIFA ZIFUATAZO
____________
Vyumba vitano
Sebule kubwa pamoja na dinning
Jiko zuri la kisasa lenye space pamoja na makabati
Air condition , pamoja na feni
Makabati vyumbani
Jiko lenye makabati ya kisasa
Washing machine , standby-generetor
Maji ya kisima , maji ya dawasco
Jiko la nje, store
Choo cha nje
Electricity danced
Garden nzuri yenye kuvutia
Cctv camera Nk.
_________
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA dalalisulle_mbezibeach
______
GHARAMA YA KUONA NYUMBA 20K (SERVICE CHARGER)
_______
#0744425669
#0685596339