House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU BEBA PESA
CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI
===
UMEME UNAJITEGEMEA MAJI DAWASKO YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
USICHOKIJUWA KUNA LISEVU TANK
Bei:200,000 Kwa mwezi X4
===
Umbali km 2 Usafiri bajaji zipo 700 Pik pik 1000
==
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347