House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA SEBURE CHOO NDANI
KINAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI MWISHO NJIA YAMARAMBA
UMBALI KUTOKA KITUONI BODA 1000
SIFA ZAKE:
UMEME WAKO MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
UMEME UNAJITEGEMEA
KODI 100,000 X 3
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU 0789049684


















