House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT CHUMBA MASTER SEBULE JIKO
INAPANGISHWA
KODI LAKI 300K
=================
MALIPO MIEZI 6/
MWEZI M MOJA KWA DALALI
KWENDA KUONA 20K
LOCATION MBEZI BEACH
=======================
Chumba master sebule jiko
umeme na maji inajitegemea
mazingula mazuli sana
Tulivu
Uwanja piving
Paking space ipo
Gertin ulinzi
Umeme upo 24 hrs
Kalibu sana mteja call cm// 0675765490
Kwa maelezo zaidi