House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(225,000X6)MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
IPO WAZI SASA
MTEJA ANAWEZA KUAMIA MDA WOWOTE
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
DISTANCE:
DAKIKA 12 KWA MIGUU KUTOKA STEND
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 225,000/=
MIEZI 6
HAKUNA FENCE
USALAMA WAKUTOSHA
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453