House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO
#CHOO CHA PABILIKI YA NNJE
# NAKIBALAZA CHAKO
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
YANAFLOW NDANI
USICHOKIJUWA APO KUNA LISEVU TANK
# NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI AMBAYO AILAZI GARI
#LOCATION MBEZI KWAMSUGURI KM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 700 TU PIK PIK 1000
UKISHUKA DK 2 UPO GETINI PK PK 1000 KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15,20 TU
#BEI NI 250,000 MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
SIMU
0712656027