House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(200,000 Γ 3) MBEZI KIBANDA CHA MKAA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000\/= Γ 3 # MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI PIA UNAWEZA INGILIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
HAKUNA PARKING YA CHOMBO CHA MOTO ILA ZIPO NDANI YA FENSI
BEI NI 200,000\/= Γ 3
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
ποΈ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA UPO MASAA 24
#PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA KM 1.8 NA USAFIRI PIA UPO WA BAJAJI AU BODABODA NA UNAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0716223412
0683597453