House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI KUBWA YA KISASA (500,000) ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐ ๐ช๐๐ฆ๐๐ข
INAPANGISHWA BEI NI SHILINGI 500,000/=
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 14/04/2025 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBS 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBILC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#AIR-CONDITION
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
#MAJI DAWASA YAPO MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA MKOANI
NA KUTOKA MOROGORO ROAD YA STAND HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ ๐ป๐ถ ๐๐ต๐ถ๐น๐ถ๐ป๐ด๐ถ 15,000
๐ ๐ฎ๐น๐ถ๐ฝ๐ผ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ฎ๐น๐ถ ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ ๐บ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ
๐๐ผ๐ป๐๐ฎ๐ฐ๐:
0715949085
0782838336