House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MKOA
APATIMENTI KALI YA KISHUA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI STAND YA MKOA
________
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM 1.5
BODABODA 1000
SIFA ZA NYUMBA:
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI LENYE MAKABATI
NA CHOO CHA PUBLIC
=======
ZIPO MBILI KWENYE FENSI
NA KILA APATIMENTI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
======
KODI 300,000/= × 6
KUONA NYUMBA 15000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI
Contact:
0654101710
0787205300